Habari
zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka
mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia
magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa Video na
Picha kuwekwa mtandaoni na Juma
Kweli
wahenga walisema you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh yupo
katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper. BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA
No comments:
Post a Comment