JAMHURI YA MUNGAZO WA TANZANIA
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA NAFASI 560 ZA KAZI
TANGAZO LA NAFASI 560 ZA KAZI
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwamujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011. Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa namajukumu mengineyo ina jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi.
Nafasi hizi ni kwa ajiri ya Wilaya za Mikoa iliyoainishwa katika jedwali kwenye tangazo.
BOFYA HAPA KU-DOWNLOAD TANGAZO (PDF)
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwamujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011. Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu.mengineinalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama. Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilaya nibalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni Katibu Mahsusi Daraja la III - (TGS B) nafasi 220, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II - (TGS 8) nafasi 220 na Dereva Daraja II - (TGOS A) nafasi.120. Nafasi hizi ni kwa ajiri ya Wilaya za Mikoa iliyoainishwa katika jedwali hapa chini Na. MKOA IDADI YA NAFASI JUMLA MAHALI PA KUWASILISHA MAOMBI KATIBU MAHSUSI DARALA LA II MSAIDIZI WA KUMBUKUMB U DARAJA LA II DEREVA DARAJA LA II 1. Arusha 10 11 6 27 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P, 3140 ARUSHA, Simu Na. 027 254 4126/028 2. Manyara 3 0 4 7 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 2, MANYARA, simu Na. 0754 800 517 3. Kilimanjaro 10 12 7 29 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 19 MOSHI, Simu Na. 027 275 0258/027 275 2143 4. Mwanza 12 14 9 35 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 1492 MWANZA, Simu Na. 023 233 3191/023 5. Mbeya 12 0 8 20 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 993, MBEYA, Simu Na. 025 250 2101 6. Irirnga 4 9 2 15 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 221 IRINGA, Simu Na. 026 270 1332/026 270 1318 7. Dodoma 8 11 4 23 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 943, DODOMA Simu Na. 026 232 1817/026 232 11074 8. Tabora 10 14 9 33 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 33, TABORA Simu Na. 026 260 5506/026 260 4028 9. Kigoma 6 12 3 21 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 100 KIGOMA 10. Kagera/Bukoba 10 10 5 25 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 133, BUKOBA Simu Na. 028 222 0019/028 222 0010 11. Tanga 19 13 9 41 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 27 TANGA, Simu Na. 027 264 6052/027 264 3121 12. Morogoro 1 0 16 7 4 3 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P148 MOROGORO Simu Na. 023 2613906 13. Singida 8 15 3 2 6 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 2, Simu Na. 0757 518 329 14. Mtwara 10 4 5 19 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 507 MTWARA, Simu Na. 023 233 3191/123 233 3872 15. Mara/Musoma 9 14 4 27 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 63, MARA, Simu Na. 2620678 16. Pwani/Kibaha 23 15 9 47 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P30024 KIBAHA - PWANI, Simu Na. 023 402274 17. Ruvuma /Songea 9 16 4 29 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 955, SONGEA Simu Na. 025 260 2875/025 260 0062 18. Shinyanga 7 8 3 18 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 29, Simu Na. 2762151 19. Rukwa/Sumbaw anga 4 6 3 13 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama Kuu (T) S.L.P 771 SUMBAWANGA, Simu Na. 025 228 02123/025 280 2833 20. Lindi 7 2 5 14 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P1062 LINDI. Simu Na. 220 2013 21. Geita 2 4 3 9 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 94 GEITA. Simu Na. 0757 245 335 22. Simiyu 8 5 3 16 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 56, SIMIYU. Simu Na. 0767 403 248 23. Njombe 7 4 3 14 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 78, NJOMBE. Simu Na. 0262782567 24. Katavi 2 5 2 9 Mtendaji wa Mahakama, Mahakama ya Mkoa S.L.P 51, KATAVI Sifa za kuingilia: NAFASI: KATIBU MAHSUS-DARAJA III-. TGS. B Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria _Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua yaTatu. wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili naKiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochotekinachotambuliwa na Serikali na kupata chef katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher. Kazi za kufanya Katibu Mahsusi Daraja la III atapangiwa kufanya kazi Typing Pool awe chini ya Katibu Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu wa sehemu au Kitengo i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida ii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kushughulikiwa 11. Mwombaji ainbaye hatazingatia maelekezo
No comments:
Post a Comment