Friday, April 24, 2015

You Cant Believe This...Zari's VVIP Tickets To Her Dar's All White Party Each For Tsh.3 Million Sold Out .

You Cant Believe This...Zari's VVIP Tickets To Her Dar's All White Party Each For Tsh.3 Million Sold Out .






 








Zari and Diamond Platnumz have made the most powerful east African celebrity couple and this can be witnessed from the great media attention they get and huge fan following, even their businesses are doing well 
as Zari's VVIP tickets to All White Party each for Tsh.3 million have been sold out according to reports.
The event will take place on 1 May at Mlimani City Conference Hall. The normal and VIP tickets will start to be sold on 24 April. Diamond Platnumz will also perform at the event which is expected to be one of it's kind.

Saturday, April 18, 2015

KAMBI ZATENGENEZWA SAUZI KUWASAIDIA WAGENI!!

KAMBI ZATENGENEZWA SAUZI KUWASAIDIA WAGENI!!

Maandamano ya kupinga ghasia dhidi ya wageni yalifanyika mjini Durban.
Raia wa kigeni wakitoa bidhaa katika maduka yao kufuatia kushambuliwa na wenyeji.
Wapinga wahamiaji hayo wakikimbia baada ya kurushiwa mabomu ya machozi.Raia wa kigeni wakiamua kujihami kwa kuchukua silaha kupambana na wenyeji.Baaadhi ya raia ya kigeni wakiwa wamehifadhiwa katika kambi baada ya kukimbia fujo na kuepusha maisha yao.
Nchi jirani na Afrika Kusini zimeanza matayarisho ya kuwaondoa raia wao kutoka nchi hiyo wakati Umoja wa Mataifa ukieleza wasi wasi wake mkubwa kutokana na mashambulio hayo ya chuki dhidi ya wageni .
Mashambulio ambayo yamesababisha maelfu ya watu kukimbia makaazi yao.
Ghasia hizo dhidi ya wageni, ambazo zilianzia katika mji wa mashariki wenye bandari wa Durban, zimesababisha kiasi cha watu sita kuuwawa na kusambaa hadi katika mji wa kibiashara wa Johannesburg.
"Nchini Afrika Kusini, mashambulizi ya chuki dhidi ya wageni katika muda wa wiki tatu zilizopita, yamesababisha watu zaidi ya 5,000 raia wa kigeni kukimbia makaazi yao," lilisema shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) na kuongeza kuwa lina "wasi wasi mkubwa".
"Tungependa kusisitiza kwamba wale walioathirika katika mashambulizi haya ya hisia za chuki kwa wageni ni wakimbizi na wale wanaotaka hifadhi ambao wamelazimika kukimbia nchi zao kutokana na vita na kusakwa na serikali zao, " UNHCR imesema.
Makambi ya muda
Raia hao wa kigeni wanajihifadhi sasa katika makambi ya muda.
Nchi jirani ya Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zimetangaza mipango ya kuwarejesha nyumbani raia wao, wakati ghasia hizo zimesababisha hasira miongoni mwa nchi za eneo hilo.
Balozi wa Zimbabwe nchini Afrika kusini, Isaac Moyo amesema hatua ya kuwarejesha nyumbani kiasi ya Wazimbabwe 1,000 kutoka Durban itaanza Jumapili (19.04.2015).
Katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare , waandamanaji walipita katika ubalozi wa Afrika kusini wakishutumu kile walichokiita "mauaji ya kiwendawazinmu na ya kikatili" ya Waafrika wenzao.
Nchini Msumbiji , kundi la watu wapatao 200 jana Ijumaa lilizuwia kivuko cha mpakani cha Lebombo kuelekea nchini Afrika kusini , wakiyapiga mawe magari ya Afrika kusini.
"Waandamanaji walizuwia barabara kwa muda wa nusu saa , wakikataa kuruhusu magari yenye namba za Afrika kusini kupita" kamanda wa polisi wilayani Moamba Alfonso Rocco ameliambia shirika la habari la AFP.
Radio yasitisha kupiga muziki wa Afrika kusini
Nchini Zambia , radio ya binafsi imesitisha kupiga muziki kutoka Afrika kusini wakipinga mashambulizi hayo ya chuki kwa wageni.
"Radio QFM imeacha kabisa kupiga muziki wa Afrika kusini kuanzia leo, Aprili 17 kupinga mashambulizi dhidi ya wageni yanayotokea nchini humo," Mkurugenzi mtendaji wa QFM Asan Nyama amesema katika taarifa iliyowekwa katika tovuti ya kituo hicho cha redio.
Mwimbaji wa Afrika kusini Kelly Khumalo alilazimika kuahirisha tamasha lake la muziki mjini London kwasababu ya hasira , wakati Big Nuz -- kundi ambalo hupiga muziki maarufu ujulikanao kama Kwaito -- lilibidi kufuta tamasha la muziki nchini Zimbabwe, waziri katika ofisi ya rais Jeff radebe amesema siku ya Ijumaa.
Hasira katika nchi jirani imeongezwa na ukweli kwamba nchi hizo zimewahifadhi maelfu ya Wafrika kusini waliokimbia nchi zao wakati wa mapambano dhidi ya utawala wa kibaguzi--suala ambalo rais Jacob Zuma amelisema katika hotuba katika bunge siku ya Alhamis.
"Tulihifadhiwa kwa ukarimu mkubwa , utu na heshima na ndugu zetu katika bara zima," Zuma amesema, akidokeza kwamba mshikamano wao ulikuwa muhimu kuweza kufanikisha uhuru na demokrasia ambayo hivi sasa tunafaidi".
Mfalme ndio chanzo cha ghasia
Ghasia za hivi karibuni zinalalamikiwa kwamba zimetokea kwa kiasi kikubwa kutokana na hotuba mwezi uliopita iliyotolewa na mfalme Goodwill Zwelithini, kiongozi wa kabila la Wazulu , ambae amelaumu wageni kutokana na kiwango cha juu cha uhalifu nchini Afrika kusini na kusema ni lazima "wafungashe mizigo yao na kuondoka ".
Mfalme huyo amesema kuwa maneno yake yametafsiriwa vibaya , lakini baadhi wanasema, Zwelithini anasema kile ambacho wengi wanakihisi.
Uchumi wa Afrika kusini unawavutia wahamiaji wengi wale wanaoingia nchini humo kihalali na wale wanaoingia pia kinyume na sheria , lakini hali ya kutokuwa na usawa pamoja na ukosefu mkubwa wa ajira miongoni mwa raia wa nchi hiyo kunajenga hali ya kutowapenda wageni.
Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imeshutumu "mauaji ya kinyama, kihalifu na yenye chuki dhidi ya wageni yanayofanywa kwa raia wa kigeni wasio na hatia", na kuitaka serikali ya Afrika Kusini kuchukua hatua haraka kusitisha ghasia hizo
AJALI NYINGINE MBAYA YA BASI KIBITI MUDA HUU!!

AJALI NYINGINE MBAYA YA BASI GAMET KIBITI MUDA HUU!!

 
gari kampuni ya gamet limepata ajari latika maeneo ya kibiti baada ya kutaka kumkwepa mtu mwenye tatizo la akili lakini ikashindikana na kuusababisha umauti wa mtu huyo,majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya kibiti
BALOTELLI NDIYE MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA KUBAGULIWA EPL

BALOTELLI NDIYE MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA KUBAGULIWA EPL

 
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli.
Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck.
Takwimu zimeripotiwa  hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya hizo zikiwa ni za kibaguzi.
Kick it Out wameripoti takwimu hizo za kushtua, ambao walibaini kwamba raia huyo wa Itali (Mario Balotelli) alilengwa sana katika mitandao ya Twitter huku mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck akipokea ujumbe 1700 asilimia hamsini kati ya hizo zikiwa za kibaguzi.
Mshambuliaji mwenza wa Balotelli katika kilabu ya Liverpool Daniel Sturridge pia alionekana kulengwa katika mitandao ya kijamii baada ya kupokea ujumbe wa 1600 asilimia 60 ikiwa ni ujumbe wenye mwelekeo wa kijinsia.
Utafiti huo pia umebaini kwamba kilabu ya Chelsea ndio kilabu iliobaguliwa zaidi kwa ujumbe 20,000 huku liverpool ikiwa ya pili na ujumbe 19,000 Arsenal ikiwa ya tatu kwa ujumbe 12,000 huku Manchester City na Manchester United zikipokea ujumbe 11,000.
NUHU MZIWANDA AFUNGUKA SIRI NZITO YA KUMDATISHA SHILOLE

NUHU MZIWANDA AFUNGUKA SIRI NZITO YA KUMDATISHA SHILOLE

BOFYA PICHA HII USHINDE ZAWADI NONO; KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
TOP 10 AFRICAN COUNTRIES WITH THE MOST BEAUTIFUL AND PRETTY LADIES. UGANDA MADE THE LIST. FIND OUT IF YOUR COUNTRY IS AMONGST. MUST SEE!!

ANAYE CHOCHEA MAUAJI SAUZ HUYU HAPA,SOMA ANACHOZUNGUMZA

 
King Goodwill Zwelithini stands by his view that foreigners should go back to their home countries.
        
KING Goodwill Zwelithini meant each and every word when he said foreigners must pack their bags and get out of South Africa.

So said Zwelithini’s spokesman, Prince Thulani Zulu, who told Daily Sun yesterday the king has nothing to be sorry for.

The Zulu king’s outburst came on Saturday during his speech at a moral regeneration event in Pongola, northern KZN.

In the presence of both Police Minister Nathi Nhleko and provincial MEC Willies Mchunu, the king was reported to have told the gathering that it was time foreigners were told to return to their countries.

The king accused them of messing up the country’s towns by hanging their fake clothing brands on the streets.

Now when you walk down the street you can’t recognise a shop you used to know because it has been taken over by foreigners who mess it up by hanging up rags,” the king said.


His remarks were widely condemned as encouraging hatred towards foreigners, which may result in more violent behaviour towards them.

But Prince Thulani said the king won’t apologise because he stood by what he said.

I think the people who’re complaining are misinterpreting his speech.

“He didn’t say foreigners must be attacked or harassed.

“The king was talking about foreigners who are here illegally.

“Some are involved in serious crimes like drug and human trafficking.

“We don’t need such people in our country so the king is right,” said Zulu.

The king’s speech has been strongly criticised for fuelling hatred against foreigners by the Somali Association of South Africa and the Congolese Solidarity Campaign.

The provincial government distanced itself from the king’s speech. It said it was guided by the Constitution, which guarantees human rights for all in SA
DIAMOND PLATINUM AWAKUMBUKA WAKAZI WA TANDALE..AWAFANYIA JAMBO KUBW NA MUHIMU SANA....HEBU FAHAMU HAPA

DIAMOND PLATINUM AWAKUMBUKA WAKAZI WA TANDALE..AWAFANYIA JAMBO KUBW NA MUHIMU SANA....HEBU FAHAMU HAPA


South Africa xenophobia: ITS NOT SAFE FOR AFRICAN FOREIGNER SOURCES CLAIMS!! STILL UNREST....


 Hundreds forced to flee their homes amid unrest

Still situation is not good in south africa where by foreigner especialy from other nation in africa attacked by gangs and Some South Africans have accused immigrants of taking jobs and opportunities away from them. The latest violence followed reported comments by Zulu King Goodwill Zwelithini, an influential figure among the Zulu ethnic group, that foreigners should “pack their bags” and leave.




VERY SAD!! IN INDIA FATHER DECIDE TO SELL KIDNEY TO SAVE HIS OBESE CHILDREN!!

Rameshbhai Nandwana, 34, of Gurjarat, India, After knowing his children's they will die.  Father plans to sell his own kidney to fund life-saving treatment for his three morbidly-obese children. This three children Yogita and Anisha eat eight chapatis, 3kg of rice, three bowls of broth, six packets of crisps, five packs of biscuits and 12 bananas daily. 
See the pictures of this children s its very touching God help this family!!.

 





Zitto Kabwe Ni Balaaa!!! Hizi ni Picha za Mkutano wa ACT - Wazalendo Kahama.......Watu Walijaa kupita maelezo

Zitto Kabwe Ni Balaaa!!! Hizi ni Picha za Mkutano wa ACT - Wazalendo Kahama.......Watu Walijaa kupita maelezo

Embedded image permalink
Kiongozi  Mkuu  wa  Chama  cha  ACT-Wazalendo  akiwahutubia  mamia  ya  Wananchi  Wilayani Kahama  Jana. 




Embedded image permalink
 

TAARIFA KAMILI KUHUSU WALIOFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI SHINYANGA!

 

 Eneo la machimbo ya madogo ya  dhahabu ya kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. 
Mpaka sasa inadaiwa wachimbaji wadogo wadogo 20 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia wa mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika machimbo madogo ya  dhahabu ya kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha amesema waliofariki dunia ni watu 19 ambapo usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya uchimbaji kutokana na machimbo hayo kuonekana kutokuwa imara na mvua iliyokuwa ikinyesha ndipo mashimo hayo yakabomoka na kuwafukia na kusababisha vifo vyao.
Baadhi ya duara ya simo la kuchimba dhahabu katika kijiji cha Kalole wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
 

TAARIFA KAMILI KUHUSU WALIOFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI SHINYANGA!

 

 Eneo la machimbo ya madogo ya  dhahabu ya kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. 
Mpaka sasa inadaiwa wachimbaji wadogo wadogo 20 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia wa mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika machimbo madogo ya  dhahabu ya kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha amesema waliofariki dunia ni watu 19 ambapo usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya uchimbaji kutokana na machimbo hayo kuonekana kutokuwa imara na mvua iliyokuwa ikinyesha ndipo mashimo hayo yakabomoka na kuwafukia na kusababisha vifo vyao.
Baadhi ya duara ya simo la kuchimba dhahabu katika kijiji cha Kalole wilayani Kahama mkoani Shinyanga.

(www.teentz.com) K sher akielezea kwanini ameamua kumshirikisha Diamond...

Hussein Machozi Aongea Kuhusu Tetesi za Yeye Kufa, Kufumaniwa Mombasa na...



 

WALICHO KIFANYA ACT WAZALENDO HUKO URAMBO KAMWE HAKIWEZI KUSAHAULIKA NA SAMWELI SITTA,SOMA HAPA

 

CHama cha ACT-Wazalendo kimeviliza vyama vinavyoundwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya mamia ya wananchi wa Wilaya ya Urambo kutangaza kujiunga na chama hicho.

Wilaya ya Urambo ina jimbo moja la uchaguzi la Urambo Mashariki ambalo linaongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta (CCM).

Nia hiyo ya wana-Urambo ilimfanya Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kujikuta akibubujikwa na
machozi ya furaha, huku kila mara akiwashukuru wananchi wa Tabora kwa kumfuta machozi kwa kukubali kuwa wazalendo.

Tukio hilo la aina yake lilitokea jana mchana baada ya viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Anna Mghwira na Zitto kuzungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Wilaya ya Urambo.

Katika mkutano huo uliofanyika katika Uwanja wa Tarafani wilayani hapa na baadae Tabora mjini, Zitto alisema uamuzi wake wa kujiunga na chama hicho ulitokana na kuhusishwa na vitendo vya manyanyaso na kunyanyapaliwa na watu wasiomtakia mema katika chama chake cha awali.

“Ndugu zangu leo mmenifariji sina la kusema, nabaki nalia kwa machozi ya furaha, ninajua Urambo na Tabora ni mkoa wa kihistoria kuanzia kwa Mtemi Mirambo, Isike ambao walisimama imara kumwondoa mkoloni.

HI LAANA:KANYE WEST AZINDUA BIBLIA YAKE!!

 
Kanye West
Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.
Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina ''Yeezus'' na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho limeondolewa na badala yake msanii huyo wa muziki wa kufoka foka ameweka jina lake.
Kulingana na gazeti la The Independence nchini Uingereza,kitabu hicho kinasema kuwa katika kizazi hiki ,Kanye West ndio mkubwa na vilevile kiongozi wa kidini
Kitabu hicho kinaongezea kwamba ''katika utangulizi wetu tunamsherehekea Kanye West na vile alivyotufanyia katika maisha yetu''
Kanye West na mkewe Kim Kardashian
Ijapokuwa Kanye hajatoa tamko lolote kuhusu wadhfa huo aliojipatia,amekuwa akijifananisha na Mungu hapo mbeleni.
''Mungu alinichagua mie,alinitengezea njia.Mimi ni chombo cha mungu'',alisema mwaka 2009.
''Lakini kinachoniudhi maishani mwangu ni kwamba sitawahi kujiona nikicheza muziki moja kwa moja''.,aliongezea.
Wasanii wengine waliofananishwa na Yeezy ni Marilyn Monroe na Michael Jackson
PICHAZ:ZITTO ANA NINI MPAKA HALI HII IJITOKEZE??

PICHAZ:ZITTO ANA NINI MPAKA HALI HII IJITOKEZE??


Wadau ni Nini siri ya umati huu katika mikutano ya ACT...yani mpaka watu wananyeshewa mvua wakimsikiliza Zitto kabwe...ndo kusema kuna kitu watu wanakihtaji na ni zitto pekee anayeweza kuwapatia????????
TEMBELEA BLOG YETU KWA HABARI ZA UHAKIKA;