Sunday, March 29, 2015
Difender Kuzikwa Leo Magomeni
Akiongea na Bongo Movies.com mkuu wa maafa kitaifa Kafiten amesema kuwa marehemu alilazwa katika Hospitali hiyo akisumbuliwa na maradhi yaliyoshambulia mapafu pamoja na kutapika damu akiwa katika wodi ya Mwaisela.
“Msiba upo nyumbani kwao Kigogo shughuli zote zitafanyika hapo na baadae saa kumi tutaelekea kuzika katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, wasanii wote tujitokeze kwa wingi kumsitiri mwenzetu,”Kafreten
Mzimu wa Kanumba Wadaiwa Kuua Wawili
Takriban miaka mitatu imekatika tangu kifo cha aliyekuwa staa wa
Bongo Movies, Steven Kanumba huku watu wawili wakifariki dunia kwa
nyakati tofauti lakini nyuma ya pazia ya vifo vyao, mzimu wa Kanumba
unatajwa kuhusika kutokana na watu hao kutaka kuishi mahali pa marehemu
huyo, gazeti la Risasi limeripoti.
Itakumbukwa kwamba, baada ya kifo cha Kanumba, mama yake mzazi, Flora Mtegoa ndiye aliyeshika jukumu la kusimamia mali za marehemu mtoto wake (alikuwa na haki).
Miongoni mwa mali hizo ukiachilia mbali, magari, vifaa vya kurekodia filamu, viwanja na filamu zilizokuwa hazijalipwa, mama Kanumba aliimiliki ofisi ya Kanumba iliyokuwa ikijulikana kwa jina la Kanumba The Great Film iliyokuwa Sinza.Hata hivyo, hivi mapema Februari, mwaka huu, mama Kanumba alitoa vitu kwenye ofisi hiyo kwa madai ya kushindwa kulipa pango, hivyo ofisi ikawa wazi.
Habari ambazo zimeandikwa na gazeti hilo zilidai kwamba, mpangaji mwingine aliikodisha ofisi hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja lakini hivi karibuni mtu huyo amefariki dunia.Msikilize shuhuda: “Kuna jamaa alipanga kwenye ofisi iliyokuwa ya Kanumba mara tu baada ya mama Kanumba kuondoka vitu kwa kushindwa kulipia mkataba mpya.
“Huyo jamaa alikuwa anahusika na masuala ya ujenzi. Jamaa alilipia kodi ya mwaka mmoja, akawalipa watu wamfanyie usafi yeye akaenda ‘saiti’ kwenye mambo yake ya ujenzi. Inadaiwa akiwa kule, kuna ‘kijiko’ kilichokuwa kinachimba kiwanja, bahati mbaya kikarudi nyuma na kumgonga, akaanguka na kufariki dunia.”
Kifo cha mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, kinaunganishwa na tukio lilitokea mwaka juzi baada ya kifo cha Kanumba kilichotokea Aprili 7, mwaka 2012.Mara baada ya Kanumba kufariki dunia ghafla, mwanamke mmoja alikwenda kupanga nyumba ile aliyokuwa akiishi marehemu iliyopo Sinza, Dar, naye alifariki dunia ghafla.
Wakati wa tukio hilo, wanahabari wa gazeti hilo walifika nyumbani kwa mwigizaji huyo ambapo walizungumza na majirani wakaelezea juu ya uwepo wa tukio hilo.Walisema japo hawaamini juu ya imani za masuala ya mzimu wa marehemu lakini kitendo cha mwanamke huyo kufariki dunia muda mfupi baada ya Kanumba kufa kiliwafanya washtuke na kuamini kwamba huenda ni mzimu wa Kanumba ndiyo ulichukua roho ya mpangaji huyo.
Hata hivyo, baadhi ya watu wengine pia walisema yao wakidai kwamba, wanaamini kifo cha mwanamke huyo ni cha kawaida kama ilivyo kwa vifo vingine.“Kama siku za Kanumba zilivyokuwa zimewadia na huyo mpangaji pia siku zake zilikuwa zimefika ndiyo maana amefariki dunia,” alisema mmoja wa majirani.
Mzee mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Mohamed Sumali (76), mkazi wa Mabibo-Relini, Dar akizungumza na gazeti hili kuhusu mazingira ya vifo hivyo, alisema:“Ipo mizimu ya hivyo. Mtu akifa, wa kwanza kuhamia kwenye nyumba aliyokuwa akiishi marehemu naye anakufa. Lakini si kwamba nyumba ndiyo ina mizimu. Kama hivyo vifo vimetokea kweli basi na mzimu wa Kanumba umeshaondoka.”
Baada ya kuzipata habari hizo, mwanahabari wa gazeti hilo alimvutia waya mama Kanumba kutaka kujua kama anajua lolote juu ya marehemu mtoto wake kuacha mzimu ambao unahusishwa na vifo hivyo ambapo alikiri kusikia taarifa za kifo cha jamaa aliyepanga kwenye ofisi za Kanumba lakini akasema hata yeye hajui sababu za kifo chake.
“Hata mimi nimesikia, lakini sielewi chochote kuhusiana na mtu huyo kufariki dunia. Imenishtua kwa kweli maana si unakumbuka hata kule alikopanga (Kanumba) mwanzoni nako aliyepanga ile nyumba naye alifariki? Sijui hata ni kwa nini?” alihoji mama Kanumba kwa sauti iliyoashiria kushangaa sana.

TANZIA: BONGOFLAVA ;ABDU BONGE WA TIP TOP CONNECTION AFARIKI DUNIA
Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia usiku wa kuamkia March 29,2015.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na africasanaagroup.com kwa taarifa zaidi.
Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.
Latest 08:08 AM IKULU YATOA WARAKA KWA WAGOMBEA.....KAMA WEWE NI MTUMISHI WA UMMA NA ULIKUWA NA NDOTO YA KUGOMBEA UBUNGE AU UDIWANI, HUU WARAKA UNAKUHUSU! Home » MATUKIO » WASANII » BREAKING NEWZZZZ:.. BONGO FLEVA TANZANIA YAPATA MSIBA MKUBWA..NI MENEJA MAARUFU WA BONGO FLEVA..NI HUYU HAPA BREAKING NEWZZZZ:.. BONGO FLEVA TANZANIA YAPATA MSIBA MKUBWA..NI MENEJA MAARUFU WA BONGO FLEVA..NI HUYU HAPA A+ A- Print Email bongeee Abdul Bonge enzi za uhai wake Tasnia ya burudani imepata pigo kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa meneja na mwanzilishi wa kundi la Tip top connection Abdul Bonge kufariki dunia usiku wa kuamkia March 29,2015. Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika endelea kuwa karibu na Farajimfinanga.com kwa taarifa zaidi. Taarifa za kifo chake zimeanza kusambazwa leo March 28.
TANZIA: MSANII DIFENDA HATUNAYE TENA ....R.I.P
Taarifa za kifo chake
zimetufikia hivi punde na tunaendelea kuzifuatilia kutoka upande wa
familia na punde tutawaletea habari kamili.ENDELEA KUIFUATILIA
Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt
Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt
Thursday, March 26, 2015
Sunday, March 22, 2015
Members wa africa sanaa group wakiwa katika mazoezi
Wanakikundi cha sanaa wakiwa katika mazoezi ya kila siku katika uwanja wa mazoezi uliopo masasi mjini ambapo ndiyo makao makuu ya kikundi hiki.
Kwa hiyo wadau wa sanaa mnakaribishwa sana kuja kushiriki au kutoa maoni/mchango wako kwa lengo la kuboresha sanaa ya maigizo.
Saturday, March 21, 2015
WAKAZI WA MASASI MTWARA WAKIJITOLEA KIREKEBISHA BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA
Friday, March 20, 2015
Wednesday, March 18, 2015
AFRICA SANAA GROUP
KIKUNDI cha sanaa za maigizo,Ngoma za Asili,Sarakasi kutoka Masasi mkoani
mtwara AFRICA SANAA GROUP limepania kuikomboa kusini
MAKAO MAKUU YA KUNDI HILI YAPO MASASI MJINI |
MASASI |
MASASI TOWN |
MASASI |
MASASI NYASA |
MASASI MKUTI |
MASASI MAENDELEO |
Subscribe to:
Posts (Atom)